Total Pageviews
Friday, November 26, 2010
Monday, November 22, 2010
nimeipenda hii

katika kuangalia kwangu blog mbalimbali nikakuta hii ktk blog ya u turn.
wanavutia sana.
SIPENDI WANAWAKE MNAOWANANGA WAUME WA WENZENU TUONYESHENI WENU JAPO KWA PICHA. WAPO WANAWAKE WALIOKOSA KAZI NA KUANZA KUWACHAMBUA WAUME WA WENZAO
jamani embu tupigieni picha waume zenu tuwaone mara mume wafulani mbaya ubaya wake anaubeba mgongoni?mara oooh mnene kampenda yeye wewe inakuhusu nini?mara kaolewa na mtoto mdogo una kadi yake ya kliniki na mbona akienda toilet anaufunga mlango na asiuwache wazi?umbile si hoja hoja virutubisho udogo wake kwa wazazi wake, mara mumewe mkubwa anaogea ikulu na huo ukubwa alionao hamjui kuwa ng'ombe hazeeki maini?acheni hizo jamani mume kila mtu anapangiwa na mwenyezi mungu na wale wanaozungumzia wenzao wameachwa cha ajabu kipi kaachwa mama winnie mandela na dunia nzima ikajua msiwachoshe na wala msichoshane kwa maneno hata kwenye keki yapo, sembuse wengine acheni midomo wazi kama milango ya jela hajatajwa mtu jina ukijishuku lako. from dida wa mchops
DIDA MITIKISIKO: KWA WALE WANAOPENDA KUWANANGA WENZAO CHUKUA HIYO,M...
DIDA MITIKISIKO: KWA WALE WANAOPENDA KUWANANGA WENZAO CHUKUA HIYO,M...: "Hivi nyie mnaopenda kuwananga wenzenu mara hawajapendeza,hawavutii,tunawaomba tuweekeneni picha zenu sio mnaongea tu wengine si wa sura wala..."
KWA WALE WANAOPENDA KUWANANGA WENZAO CHUKUA HIYO,M...
KWA WALE WANAOPENDA KUWANANGA WENZAO CHUKUA HIYO,M...: "Hivi nyie mnaopenda kuwananga wenzenu mara hawajapendeza,hawavutii,tunawaomba tuweekeneni picha zenu sio mnaongea tu wengine si wa sura wala..."

Thursday, November 18, 2010
true love
AN EXCELLENT EXAMPLE OF A LIVING TEMPLE !!!.
|
Tuesday, November 16, 2010
Monday, November 15, 2010
mtoto mfunze akiwa mdogo

mange`s hubby and her baby

hapa wabongo hata baharini mtoto hafiki eti upepo

ila siwalaumu wa bongo fukwe zetu nyingi chafu
Friday, November 12, 2010
i heart hawa waigizaji pamoja ja movie yao twilight

Kristen Stewart, Robert Pattinson
Get ready, Twi-hards! Kristen Stewart and Robert Pattinson were snapped on the set of the next film in the vampire saga, "Breaking Dawn," in Rio de Janeiro on Sunday. Spoiler alert: If you've somehow avoided finding out what happens in the final two installments and don't want to know, stop clicking now!

jinsi mungu alivyo mkuu
|
Subscribe to:
Posts (Atom)