Total Pageviews

Monday, November 22, 2010

SIPENDI WANAWAKE MNAOWANANGA WAUME WA WENZENU TUONYESHENI WENU JAPO KWA PICHA. WAPO WANAWAKE WALIOKOSA KAZI NA KUANZA KUWACHAMBUA WAUME WA WENZAO



 jamani embu tupigieni picha waume zenu tuwaone mara mume wafulani mbaya ubaya wake anaubeba mgongoni?mara oooh mnene kampenda yeye wewe inakuhusu nini?mara kaolewa na mtoto mdogo una kadi yake ya kliniki na mbona akienda toilet anaufunga mlango na asiuwache wazi?umbile si hoja hoja virutubisho udogo wake kwa wazazi wake, mara mumewe mkubwa anaogea ikulu na huo ukubwa alionao hamjui kuwa ng'ombe hazeeki maini?acheni hizo jamani mume kila mtu anapangiwa na mwenyezi mungu na wale wanaozungumzia wenzao wameachwa cha ajabu kipi kaachwa mama winnie mandela na dunia nzima ikajua msiwachoshe na wala msichoshane kwa maneno hata kwenye keki yapo, sembuse wengine acheni midomo wazi kama milango ya jela hajatajwa mtu jina ukijishuku lako. from dida wa mchops

No comments:

Post a Comment